Mtunzi: B. Simfukwe
> Tazama Nyimbo nyingine za B. Simfukwe
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 4,197 | Umetazamwa mara 8,672
Download Nota Download MidiMawazo ninayo wawazia ninyi ni mawazo ya amani wala si ya mabaya asema Bwana x 2.
Mashairi:
1. Mtaniita nami nitawasikiliza, mtakapo niita kwa moyo wenu wote.
2. Mtanitafuta na mimi nitaonekana, mtakapo nitafuta kwa moyo wenu wote.
3. Mtaniomba nami hakika nitawapa mtakapo niomba kwa moyo wenu wote.