Ingia / Jisajili

Mawazo Ninayowawazia

Mtunzi: Severine A. Fabiani
> Mfahamu Zaidi Severine A. Fabiani
> Tazama Nyimbo nyingine za Severine A. Fabiani

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Severine Fabian

Umepakuliwa mara 299 | Umetazamwa mara 739

Download Nota
Maneno ya wimbo
Bwana asema Mawazo ninayo wawazia ninyi ni mawazo ya Amani wala si ya mabaya x2 1. Nitawasikiliza nami, nitawarudisha kutoka mahali pote watu wenu waliofungwa. 2.Nanyi mtanitafta na kuniona, mtakapo nitafuta kwa moyo wenu wote. 3.Nitaonekana kwenu asema Bwana------------

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa