Ingia / Jisajili

MTAKATIFU YOSEFU UTUOMBEE

Mtunzi: Severine A. Fabiani
> Mfahamu Zaidi Severine A. Fabiani
> Tazama Nyimbo nyingine za Severine A. Fabiani

Makundi Nyimbo: Anthem | Watakatifu

Umepakiwa na: Severine Fabian

Umepakuliwa mara 707 | Umetazamwa mara 2,051

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Mtakatifu Yosefu Baba, Msimamizi wa Kanisa Utuombee x2 Ee Mfanyakazi tuombee nasisi tufanye kazi Ee mlezi mwema tuombee nasisi tulee vema. 1. Ulitamani utakatifu huu, tuombee nasi tutamani mema Yosefu utuombee.. 2.Baba wa familia iliyo takatifu, tujalie nasi tuige mfano wako Yosefu utuombee..

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa