Mtunzi: Madam Edwiga Upendo
> Mfahamu Zaidi Madam Edwiga Upendo
> Tazama Nyimbo nyingine za Madam Edwiga Upendo
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo
Umepakiwa na: Madam Edwiga Upendo
Umepakuliwa mara 1,669 | Umetazamwa mara 5,099
Download Nota Download MidiKiitikio: Bwana asema mawazo ninayowawazia ninyi ni mawazo ya amani x2
Ni mawazo ya amani wala si ya mabaya
Shairi: Nanyi mtaniita nami nitawasikiliza nami nitawarudisha kutoka
Mahali pote watu wenu waliofungwa