Mtunzi: Madam Edwiga Upendo
> Mfahamu Zaidi Madam Edwiga Upendo
> Tazama Nyimbo nyingine za Madam Edwiga Upendo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Madam Edwiga Upendo
Umepakuliwa mara 3,626 | Umetazamwa mara 6,913
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 32 Mwaka C
Kiitikio: (Ee Bwana niamkapo nitashibishwa kwa sura yako)X2
Mashairi: 1. Ee Bwana, usikie haki, usikilize kilio changu
utege sikio lako kwa maombi yangu
yasiyotoka katika midomo ya hila
2. Nyayo zangu, zimeshikamana na njia zako
hatua zangu hazikuondoshwa
3. Ee Mungu, nimekuita, kwa maana utaitika
utege sikio lako ulisikie neno langu
4. Unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako
bali mimi nikutazame uso wako katika haki
niamkapo nishibishwe kwa sura yako