Mtunzi: Félix Fémka
> Mfahamu Zaidi Félix Fémka
> Tazama Nyimbo nyingine za Félix Fémka
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Félix Femka
Umepakuliwa mara 1,422 | Umetazamwa mara 2,308
Download NotaMBALI KULE
1. Mbali kule nasikia malaika wa mbinguni wakiimba wengi pia wimbo huu mzuri angani.
K/ Gloria gloria in excelsis Deo in excelsis Deo. 2X
2. Wachunga tuambieni sababu ya nyimbo hizo mwenye kuimbiwa ni nani? ju ya nani sifa hizo?
3. Je hamjui jambo kuu la kuzaliwa mwokozi? abari ya nyimbo hizo ni kumhsukuru mwenyezi.