Mtunzi: Michel Fariala Kilimo
> Mfahamu Zaidi Michel Fariala Kilimo
> Tazama Nyimbo nyingine za Michel Fariala Kilimo
Makundi Nyimbo: Misa | Tenzi za Kiswahili | Zaburi
Umepakiwa na: Kam's Swana
Umepakuliwa mara 423 | Umetazamwa mara 1,340
Download NotaMbele ya macho ya
mataifa, Bwana amejulisha wokovu wake .
Mashairi:
1.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya kwani amefanya maajaabu
2.
Amepata ushindi kwa mkono wake waku ume mkono wake mtakatifu