Mtunzi: Michel Fariala Kilimo
> Mfahamu Zaidi Michel Fariala Kilimo
> Tazama Nyimbo nyingine za Michel Fariala Kilimo
Makundi Nyimbo: Tenzi za Kiswahili | Zaburi
Umepakiwa na: Kam's Swana
Umepakuliwa mara 378 | Umetazamwa mara 1,245
Download NotaK/ Mnyonge alilia, naye Bwana
akamsikiliza.
1. 1. Nitamtukuza Bwana
kila wakati, sifa yake kinywani mwangu siku zote
2. 2. Roho yangu ijisifu katika Bwana; wanyonge wasikie na
kufurahi