Mtunzi: Castor Kisimba Elkis
> Mfahamu Zaidi Castor Kisimba Elkis
> Tazama Nyimbo nyingine za Castor Kisimba Elkis
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Misa | Tenzi za Kiswahili | Zaburi
Umepakiwa na: Kam's Swana
Umepakuliwa mara 411 | Umetazamwa mara 1,317
Download NotaMbele ya macho ya
mataifa, Bwana amejulisha wokovu wake .
Mashairi:
1.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya kwani amefanya maajaabu
2.
Amepata ushindi kwa mkono wake waku ume mkono wake mtakatifu