Mtunzi: Castor Kisimba Elkis
> Mfahamu Zaidi Castor Kisimba Elkis
> Tazama Nyimbo nyingine za Castor Kisimba Elkis
Makundi Nyimbo: Misa | Tenzi za Kiswahili | Zaburi
Umepakiwa na: Kam's Swana
Umepakuliwa mara 233 | Umetazamwa mara 1,810
Download NotaK/ Msaada wetu watoka kwa Bwana, aliyeifanya mbingu na dunia
1. Ninainua macho yangu niitazame milima msaada wangu utatoka wapi ?
2. Msaada wangu watoka kwa Bwana aliyeifanya mbingu na dunia