Mtunzi: Edward B. Bulugu (Madaha)
> Mfahamu Zaidi Edward B. Bulugu (Madaha)
> Tazama Nyimbo nyingine za Edward B. Bulugu (Madaha)
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 525 | Umetazamwa mara 1,470
Download Nota Download MidiMBELE YA MIUNGU NITAKUIMBIA NITAKUIMBIA ZABURI. X2
1.Siku ile ni - liyokuita, uliniitikia ukanifariji nafsi, kwa kunitia nguvu.
2.Ni - tasujudu nikikabili, hekalu takatifu nitalishukuru jina, lako taka - tifu.