Ingia / Jisajili

Wewe u Mtumishi Wangu

Mtunzi: Edward B. Bulugu (Madaha)
> Mfahamu Zaidi Edward B. Bulugu (Madaha)
> Tazama Nyimbo nyingine za Edward B. Bulugu (Madaha)

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 264 | Umetazamwa mara 1,118

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Wewe u mtumishi wangu nimekuchagua wewe wala sikukutupa! usiogope kwa maana mimi ni pamoja nawe usifadhaike kwa maana mimi ni mungu wako nitakutia nguvu naam, nitakusaidia. x2

  • 1.Tazama wote walio na hasira juu yangu, watatahayarika na kufadhaika watu washindanao nawe watakuwa si kitu na kuangamia.
  • 2.Kwa maana mimi Bwana Mungu wako nitakushika mkono wako wakuume nikikuambia usiogope mimi nitakusaidia.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa