Ingia / Jisajili

Mezani Kwa Bwana Chakula Tayari

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 104 | Umetazamwa mara 515

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
uzima.(Kwama Ana).Yeye ni Chakula kweli pia ni kinywaji Safi twendeni tuka mpokee.(kwamaana).Yeye ni Cha kula pia Niki nywaji Safi twendeni tupate uzima.(1).Bwana anatualika twendeni ndugu wa amini tuka mpokee tupate uzima wa milele.(2).Mezani kwa Bwana yesu Cha kula Sasa tayari .anatualika tukale tukanywe Damu yake.(3).Eewe yesu wangu mwema wewe ndiye tegemeo lamaisha yangu na kuja kwako kuku pokea.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa