Ingia / Jisajili

Ee Bwana Utegesikio Lako

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 230 | Umetazamwa mara 1,631

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 21 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 21 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 21 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE BWANA UTEGE SIKIO LAKO UNIJIBU WE WE ULIYE MUNGU WANGU UMWOKOE MTUMISHI WAKO ANAYE KUTUMAINI X 2 Fine (I) Unihifadhi nafsi yangu. Maana Mimi nimcha mungu. Wewe uliye mungu Wangu umwokoe.mtumishi wako anaye kutumaini.(2). Wewe Bwana unifadhili mimi .maana na kulilia Wewe mchana kutwa na kulilia mchana kutwa. (3).Kwa maana Wewe Bwana umwema. Umekuwa tayari kusamehe. Namwingi wa fadhili Kwa watu wote wakuitao. (4).Ee Bwana unifundishe Njia yako. Nitakwenda katika kweli yako. Moyo Wangu na ufurahi kulicha jina lako. (5).Uifuraishe nafsi ya mtumishi wako . Maana nafsi. Yangu. Nakuinulia Wewe wewe Bwana.(6).Ee. Bwana uyasikie maombi yangu . Uisikilize. Sauti yangu Ee Bwana ya Dua zangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa