Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 7,483 | Umetazamwa mara 12,161
Download Nota Download MidiMezani pake twendeni wote tukampokee ametualika x2
1. Mwili wake ni chakula kweli damu yake kinywaji safi
2. Alaye mwili na kunywa damu ana uzima wa milele
3. Mbele ya kwenda tujitakase tutastahili kumpokea
4. Karibu Yesu ukae nasi njia zako utufundishe
5. Na mwisho tufurahie nawe katika utukufu wako