Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 1,534 | Umetazamwa mara 4,819
Download Nota Download MidiMfalme wa utukufu apate kuuingia mfalme wa utukufu apate kuingia x2
Yeye ndiye mfalme yeye ndiye mfalme yeye ndiye mfalme Yeye ndiye mtukufu mfalme wa utukufu apate kuingia x2
1. Nchi na vyote viijaavyo ni mali ya Bwana dunia na wote wakaao ndani yake
2. Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari na juu ya mito ya maji aliithibitisha
3. Ni nani atakaye panda mlima wa Bwana nani atakayesimama patakatifu pake
4. Atapokea Baraka kwa Bwana na haki kwa Mungu wa wokovu wake hiki ndicho kizazi cha wamtafutao wakutafutao Ee Mungu wa Yakobo