Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 1,082 | Umetazamwa mara 3,233
Download Nota Download MidiNENDENI MKAHUBIRI- Augustine Rutta
KIITIKIO; Nendeni mkahubri ( Nendeni) Nendeni mkahubiri,
Nendeni mkahubiri amani, nendeni.
Mkahubiri watu wote waishi kwa amani na upendo, waishi kwa amani
1. Kahubiri amani na upendo kwa watu wangu wote, wakapendane kama mimi nilivyo wapenda wote-jueni kwamba mimi Mungu wenu ni upendo.
2Matendo yenu yakaonekane kwa watu wangu wote, ili watu wote wajue kwamba mimi nimewatuma-.Maneno yenu yote yakahubiri amani
3.Nawatuma nendeni kati ya mbwa mwitu na kondoo, msichukue kitu chochote ninyi nendeni nimewatuma-Kafanye watu wote wakaishi kwa amani