Ingia / Jisajili

Miisho Yote Ya Dunia

Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0

Download Nota
Maneno ya wimbo

MIISHO YOTE YA DUNIA

Miisho yote, ya dunia imeuona wokovu, wa Mungu wetu x2

1. Mwimbieni Bwana wimbo mpya, kwa maana ametenda mambo ya ajabu, Mkono wa kuume wake mwenyewe,

    Mkono wake Mtakatifu umemtendea wokovu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa