Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 7
Download NotaAMEFUFUKA MWOKOZI
Amefufuka Mwokozi eh! (Yesu) Amefufuka kweli (Leo)
Amefufuka Mwokozi Yesu tufurahi x2
1. Ametoka kaburini, leo hii na mapema, amefufuka Mwokozi Yesu tufurahi