Mtunzi: Melchior Basil Syote
> Tazama Nyimbo nyingine za Melchior Basil Syote
Makundi Nyimbo:
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 7,284 | Umetazamwa mara 13,160
Download Nota Download MidiMIISHO YOTE YA DUNIA. - By M B Syote.
Miisho yote ya Dunia imeuona wokovu wokovu wa Mungu wetu x2
Soprano
1. Mwimbieni Bwana wimbo mpya kwa maana ametenda mambo ya ajabu mkono wa kuume wake mwenyewe mkono Mtakatifu umemtendea wokovu. kiit...
Alto/ Tenor
2. Bwana ameufunua wokovu wake machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake, amezikumbuka rehema zake na uaminifu wake kwa nyumba ya Israel.
soprano
3. Mshangilieni Bwana nchi yote inueni sauti imbeni kwa furaha imbeni zaburi, mwimbieni Bwana zaburi mwimbieni Bwana zaburi kwa kinubi kwa kinubi na sauti ya zaburi.
4. kwa panda na sauti ya Baragumu - shangilieni mbele ya mfalme Bwana. kiit...