Ingia / Jisajili

Mimi Ndimi Chakula Chenye Uzima

Mtunzi: Joseph D. Mkomagu
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph D. Mkomagu

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 442 | Umetazamwa mara 574

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 20 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana Yesu asema mimi ndimi chakula chenye uzima kilichoshuka kutoka mbinguni X2

Mtu akila chakula hiki mtu akila chakula hiki atakuwa na uzima uzima wa milele X2

1. Bwana asema aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu nami ndani yake

2. Bwana asema mimi ni mkate wenye uzima anilaye mimi ataishi milele

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa