Ingia / Jisajili

Bwana Ni Nguvu Za Watu Wake (Mwanzo J2 Ya 12)

Mtunzi: Joseph D. Mkomagu
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph D. Mkomagu

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 5,747 | Umetazamwa mara 15,125

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana ni nguvu za watu wake, naye ni ngome ya wokovu, kwa Kristu wake, Naye ni ngome ya wokovu kwa Kristu wake.

  1. Uwaokoe watu wako, uwabariki urithi wako, uwachunge uwachukue milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa