Ingia / Jisajili

Mimi Ni Mavumbi

Mtunzi: Alfred L. Mchele
> Mfahamu Zaidi Alfred L. Mchele
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred L. Mchele

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mazishi

Umepakiwa na: Alfred L. Mchele

Umepakuliwa mara 18 | Umetazamwa mara 28

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kwa mkono wako Mimi uliniumba kwa ma vumbi bwana Mimi uliniumba, nitayarudia mavumbi haya. 1. Siku zake mwanadamu, kweli Zima hesabika. 2. Rarueni nyoyo zenu, Wala si mavazi yenu. 3. Badilisheni mwenendo, wa maisha yenu yote. 4. Fanyeni Toba ya kweli, bwana amekaribia. 5. Atukuzwe Mungu baba, mwana, roho mtakatifu. Mbarikiwe sana kwa kuimba wimbo huu. 0782150331 0621195037 0612135037

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa