Mtunzi: Paschal Florian Mwarabu
> Tazama Nyimbo nyingine za Paschal Florian Mwarabu
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Zaburi
Umepakiwa na:
Umepakuliwa mara 1,977 | Umetazamwa mara 5,311
Download Nota Download MidiMIMI NI MZABIBU.
Kiitikio:
Mimi ni mzabibu kweli , nanyi mu matawi yangu :I: Kaeni ndani yangu, na mimi ndani yenu, akaaye ndani yangu, huyo huzaa sana :I
Mashairi.
1.Yesu akasema mimi ni mzabibu wa-kwe-li/ Na Baba yangu ni-mku-li-ma.
2.Nje yangu hamwezi kuzaa/ kwani mu matawi yangu.
3.Bila nguvu yangu hamwezi lolote/ kwani mu matawi yangu.
4.Kaeni ndani yangu nami ndani yenu/ kwani mu matawi yangu.