Ingia / Jisajili

Mimi Ni Wokovu Wa Watu

Mtunzi: Filbert Thoy
> Mfahamu Zaidi Filbert Thoy
> Tazama Nyimbo nyingine za Filbert Thoy

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Filbert Thoy

Umepakuliwa mara 858 | Umetazamwa mara 3,985

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana asema mimi ni wokovu wa watu x2
Wakinililia katika taabu zao x2
Nitawasikiliza nami ni wao milele.

  1. Nitakuhimidi Bwana kila wakati, sifa zako zi kinywani, kinywani daima.

  2. Nitamsifu Bwana kila wakati, Nitamwimbia Bwana daima milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa