Mtunzi: Robert Kisusi
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert Kisusi
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Barack T Mashibe
Umepakuliwa mara 4,722 | Umetazamwa mara 8,501
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Mimi nikutazame uso wako katika haki, niamkapo nishibishwe kwa sura yako
VIIMBILIZI
1.Ee Bwana usikie haki, ukisikilize kilio changu,utege sikio lako kwa maombi yangu
2.Nyayo zangu Ee Bwana zimeshikamana na njia zako, hakika hatua zangu hazitaondoshwa
3.Ee Bwana Mungu wangu wewe ni kimbilio langu, niendapo unionyeshe njia yako