Ingia / Jisajili

Mkate Nitakaotoa

Mtunzi: Marcus Mtinga
> Mfahamu Zaidi Marcus Mtinga
> Tazama Nyimbo nyingine za Marcus Mtinga

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 5,727 | Umetazamwa mara 10,041

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mkate nitakaotoa mimi ni mwili wangu mwili wangu, kwa ajili ya uzima wa ulimwengu x 2

  1. Mimi ndimi chakula chenye uzima, kilichoshuka kutoka mbinguni mtu akila chakula hiki ataishi milele yote.
     
  2. Aulaye aulaye mwili wangu, na kuinywa damu yangu anao uzima uzima wa milele, nami nitamfufua siku ya mwisho.
     
  3. Kwa maana mwili wangu ni chakula, na damu yangu ni kinywaji kweli, anilaye mimi atakuwa hai, hukaa ndani yangu nami ndani yake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa