Ingia / Jisajili

Mkavae Utu Upya

Mtunzi: Charles Saasita
> Mfahamu Zaidi Charles Saasita
> Tazama Nyimbo nyingine za Charles Saasita

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 11,903 | Umetazamwa mara 17,490

Download Nota

Maoni - Toa Maoni

David Kodeny Oct 27, 2022
Wimbo huu ni tamu sana na ningependa kuipata kwa PDF ili watu waweze kupata beti la nne..hongera kwa mtunzi

Frank Rwegoshora Nov 08, 2020
Wimbo mzuri sana ila unashindikana kupakuliwa, hiyo option haitokei. IT tusaidie maana hata ni kama ukurasa wa wimbo haumaliziki kufunguka

Peter Maguzu Mar 13, 2019
Wimbo huu mbona unagoma kupakuliwa halafu unafunguka kama picha iliyochukuliwa kwa camera, kama ni hivyo, nawezaje kuipata PDF yake?

moses chira Dec 11, 2018
huo wimbo ni mtamu sana.. ni vile mimi kama mtu wa bara hapa kenya, kiswahili kidogo chanikanganya.maneno kama vile, donge, chachu. itabidi nitafute maana yake.. Pili, mtunzi huyu ni expert kwa vile ujumbe wa huo wimbo wahitanji pia msikilizaji expert hongera sana mwalimu... the song gets down to my heart

Leonard John Ntaja Dec 09, 2018
Pongeza,sana.

Toa Maoni yako hapa