Mtunzi: C.a.gashule
> Mfahamu Zaidi C.a.gashule
> Tazama Nyimbo nyingine za C.a.gashule
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Paschal Lusangija
Umepakuliwa mara 340 | Umetazamwa mara 790
Download Nota Download MidiWaumini Misa imekwiaha (nendeni na amani),sasa mkayatangaze yote mliyoyasikia(kawaambieni) yote mliyoyasikia (pia kawaelezeni) yote mliyoyasikia (tena kayatamkeni) yote mliyoyasikia (sasa kawafundisheni) yote mliyoyasikia (nendeni na amani) sasa mkayatangaze yote mliyoyasikia.
1.(a)Kayatangazeni yote pande za-dunia (b) Nendeni kwa mataifa yote ya ulimwengu,( nendeni kaskazini, nendeni magharibi nendeni mashariki nendeni ku-sini) x2.2(a) Kawaambieni sasa wakati umefika,(b) Na ufalme wake Mungu umeka-ribia (wamrudie Mungu waache njia zao wakatubu na kuiamini i-njilix2.3 (a) Nendeni kwa mafisadi nendeni kwa walevi (b) Pia kwa washirikina pia kwa magaidi,(wamrudie Mungu waache njia zao wakatubu na kuiamini i-njilix2.