Ingia / Jisajili

Mke Wako Atakuwa Kama Mzabibu

Mtunzi: F. E. Nyanza
> Tazama Nyimbo nyingine za F. E. Nyanza

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: maxmillian kapesa

Umepakuliwa mara 14,128 | Umetazamwa mara 21,898

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

mke wako atakuwa kama mzabibu wenye kuzaa ndani ya nyumba yako ,Watoto wako wataizunguka meza yako kama vichipukizi wataizunguka meza yako kama vichipukizi vya mizeituni

1.atabarikiwa hivyo amchaye bwana atabarikiwa naye Mungu


Maoni - Toa Maoni

Cargo Ree Dec 12, 2019
MKE WAKO mke wako atakuwa kama mzabibu x2 wenye kuzaa matunda bora x3 ndani ya nyumba yako x2 Watoto wako wataizunguka meza yako kama vichipukizi vya Mizeituni Muwafundishe mila zile zilizo njema Wajue wao ni matunda ya mzabibu Nayo nyumba yenu iwe ni kanisa Ndgo Yakusali na Kumuomba Mungu Baba Mwisho Mungu atawapeni Baraka Tele Muishi milele na Milele Amina

John Shija Dec 15, 2016
Hongera sana sana kwa kuanzisha swahili note hii inatusaidia sana hasa sisi tuliombali na watunzi wa nyimbo mnasitahili pongezi na mbarikiwe sana!

Toa Maoni yako hapa