Mtunzi: A. K. C. Sing'ombe
> Tazama Nyimbo nyingine za A. K. C. Sing'ombe
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 8,089 | Umetazamwa mara 14,031
Download Nota Download MidiMkombozi karibu moyoni mangu ukae nami daima
Yesu njoo (moyoni) moyoni mwangu karibu ukae nami daima (siku zote) siku zote siku zote x2
1. Shinda mwangu nami ndani yako karibu neno la uzima njoo
2. Unilishe nakuninywesha karibu chakula cha mbingu njoo
3. Unipe neema ya mapendo karibu nuru ya upendo njoo
4. Nijalie nifike mbinguni karibu Yesu mkombozi njoo