Ingia / Jisajili

Mkono Wako Wa Kuume

Mtunzi: Patrick Ingati
> Mfahamu Zaidi Patrick Ingati
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Ingati

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: patrick ingati

Umepakuliwa mara 257 | Umetazamwa mara 814

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mkono wako wa kuume amesimama Malkia amevaa dhahabu ya ofiri.1. Binti za Wafalme wamo miongoni mwa akina Bibi wako wastahiki. 2. Sikia Binti utazame utege sikio lako uwasahau watu wako na nyumba ya baba yako.3. Naye Mfalme atautamani uzuri wako maana ndiye Bwana wako nawe umsujudie. Watapelekwa kwa furaha na shangwe na kuingia katika nyumba ya Mfalme.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa