Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe
Makundi Nyimbo: Anthem
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 245 | Umetazamwa mara 1,184
Download Nota Download MidiMLIJENGE UPYA HEKALU LANGU (Hagi; 1:2-7, Matayo;21:12-13, 13:7-8)
Bwana Mungu wa majeshi asema hivi, sasa basi nendeni mlimani mkalete miti ..x 2
mlijenge upya hilo heaklu langu nipate kufurahia nakutukuza ... x2
1. Mlijenge upya hekalu langu ili kila mtu aombaye ndani yake hupewa.
Mlijenge upya hekalu langu ili mnitolee sadaka yakunipendeza.
Mlijenge upya hekalu langu ili ndani yake msujudu nakuniabudu.