Ingia / Jisajili

Moyo Mtakatifu Wa Yesu

Mtunzi: Himery Msigwa
> Mfahamu Zaidi Himery Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Himery Msigwa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Moyo Mtakatifu wa Yesu

Umepakiwa na: Himery Msigwa

Umepakuliwa mara 30 | Umetazamwa mara 43

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Moyo Mtakatifu moyo wake Yesu umejaa mapendo pia na amani x 2 1.Moyo wa Yesu chombo Cha haki na upendo , moyo wa Yesu kilindi Cha fadhila zote utujalie mioyo yetu ifanane na moyo wako 2. Moyo wa Yesu chemchemi ya uzima , moyo wa Yesu wenye huruma nyingi , (utujalie mioyo yetu ifanane na moyo wako ) x2 3. Moyo wa Yesu amani na upatanisho wetu , moyo wa Yesu tanuru lenye kuwaka mapendo (utujalie mioyo yetu ifanane na moyo wako ) x 2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa