Mtunzi: Plus Nicholas
> Mfahamu Zaidi Plus Nicholas
> Tazama Nyimbo nyingine za Plus Nicholas
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Plus Nicholas
Umepakuliwa mara 415 | Umetazamwa mara 1,944
Download Nota1. Bwana niumbie moyo safi moyo wa mapendo moyo mweupe moyo mnyenyekevu moyo wa huruma e bwana
Heri wenye moyoo safi mana hao wata mwona Mungu
2. Nakila mwenye matumaini katika yeye hujitakasa kama yeye aklivyo mtakatifu kwamaana tutamwona kama yeye alivyo
3. Nania atakaye simama katika pa takatifu pake ni yuleyule asiyeinua nafsi yake kwa ubatili wala hakuapa kwa hila