Mtunzi: Plus Nicholas
> Mfahamu Zaidi Plus Nicholas
> Tazama Nyimbo nyingine za Plus Nicholas
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Plus Nicholas
Umepakuliwa mara 359 | Umetazamwa mara 1,741
Download Nota Download Midi1. Waamini wote tushikamane hima tuijenge nyumba ya bwana Mungu wetu
2.Njoni tutoe michango tuijenge nyumba tuijenge nyumba ya bwana Mungu wetu
2. Kuijenga nyumba yaitaji kujitoa kwani kutoa ni moyo si utajiri
Haya we, haya baba, mama, kaka, dada tuijenge nyumba ya bwana Mungu wetu tuijenge nyumba ya mfalme wawa falme