Ingia / Jisajili

Moyo Wangu Umekuambia

Mtunzi: Joseph D. Mkomagu
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph D. Mkomagu

Makundi Nyimbo: Zaburi | Mwanzo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 20,519 | Umetazamwa mara 30,386

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Moyo wangu umekuambia ee Bwana Mungu wangu x 2
Uso wako nitautafuta, ee Bwana unihurumie.
Usikie ee Mwenyezi Mungu ninavyokulilia x 2

Mashairi:

  1. Unionee huruma ee Bwana Mungu wangu, ninakuja mbele yako ee Bwana Mungu wangu, kwa ajili ya makosa yangu, kwa ajili ya makosa yangu, usinihukumu Bwana. 
     
  2. Usinitupe ee Bwana mimi mtumishi wako, usiniache ee Bwana mimi mtumishi wako, kwa ajili ya makosa yangu, kwa ajili ya makosa yangu, usinihukumu Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Paul wechuli Sep 11, 2021
Nashukuru kwa utunzi wako mw, ila nauliza je ,wimbo:moyo wangu umekuambia. Kati ya kiitikio na ubeti nota hazina maneno.unitumie mW. Nitashukuru.Niko kenya~ kitale diocis.

Nicodemus jonas mlewa Feb 24, 2018
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu hongereni kwa kazi nzuri

Emanuel Mar 07, 2017
Nimekosa Huduma yakutumiwa nyimboza kila jumapili naomba kama nijulisheni tatizo ninini hasa au kunautaratibu uliobadilika na Mimi sijui. Ahsanten kwahuduma mliyo ibuni. Tumsifu yesukristu

Toa Maoni yako hapa