Mtunzi: Massawe. A. F.
> Tazama Nyimbo nyingine za Massawe. A. F.
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Antusa Felix
Umepakuliwa mara 821 | Umetazamwa mara 2,649
Download Nota Download MidiMpeni Bwana mpeni // x 2
Mpeni Bwana utukufu na nguvu // x 2
1. Mwimbieni Bwana wimbo mpya mwimbieni nchi yote pia; Wahubirini mataifa habari za utukufu wake na za maajabu yake.
2. Kwa maana Bwana ni mkuu mwenye kusifiwa sana na wa; kuhofiwa kuliko miungu ya watu, yeye ndiye alizifanya mbingu.
3. E jamaa za watu mpeni Bwana utukufu na nguvu mpeni utukufu wa jina lake leteni sadaka katika nyua zake.
4. Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu kisha tena tetemekeni mbele zake nchi yote semeni Mungu atahukumu watu kwa haki.