Mtunzi: Kelvin Masoud
> Mfahamu Zaidi Kelvin Masoud
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Masoud
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: kelvin masoud
Umepakuliwa mara 406 | Umetazamwa mara 1,925
Download Nota Download MidiKiitikio.....Mpeni Mungu sifa zake,mpeni utukufu,wa jina lake,
Mwambieni Mungu matendo yake yanatisha,yanatisha kama nini matendo ya Mungu.