Ingia / Jisajili

MSHUKURUNI BWANA

Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: MICHAEL MHANILA

Umepakuliwa mara 253 | Umetazamwa mara 873

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mshukurunu bwana kwa kuwa ni mwema maana fadhili ni zamiee ni zamilele 1. washukao baharini katika merikebu wafanyao kazi za katika maji mengi ha huzina kazi za bwana na maajabu yake vilindini 2.maana husema akavumisha upep na dhoruba ukayainua juu mawimbi yake wapanda mbinguni wakateremka vilindini nafsi yao yayeyuka kwa hali mbaya 3.wakamlilia bwana katika dhiki za akaponya shida za hutuliza dhruba ikawa shwari mawimbi yake yakanyamaza

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa