Ingia / Jisajili

Mshukuruni Bwana

Mtunzi: Venas William Lujinya
> Tazama Nyimbo nyingine za Venas William Lujinya

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Venas W Lujinya

Umepakuliwa mara 80 | Umetazamwa mara 221

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1.Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema Kwa maana fadhili zake ni za milele. 2.Mshukuruni Mungu Mungu wa miungu Kwa maana fadhili zake ni za milele 3.Mshukuruni Bwana Bwana wa mabwana Kwa maana fadhili zake ni za milele 4.Yeye peke yake afanya maajabu makuu Kwamaana fadhili zake ni za milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa