Mtunzi: Pius Peter Kabanya
> Mfahamu Zaidi Pius Peter Kabanya
> Tazama Nyimbo nyingine za Pius Peter Kabanya
Makundi Nyimbo: Pasaka | Shukrani | Zaburi
Umepakiwa na: pius kabanya
Umepakuliwa mara 396 | Umetazamwa mara 1,594
Download Nota Download MidiMshukuruni Mwenyezi Mungu kwa kuwa ni mwema kwa kuwa ni mwema x2, kwa maana fadhili zake zadumu milele x2
1.Israeli na aseme sasa ya kwamba fadhili zake zadumu milele.
2.Wamchao Bwana na waseme sasa ya kwamba fadhili zake zadumu milele
3. Ulinisukuma sasa ili nianguke lakini Bwana akanisaidia.
4. Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu nayeamekuwa wokovu wangu.