Ingia / Jisajili

Msifuni Bwana Uwaponya Waliopondeka Moyo

Mtunzi: Enyonyi Abemba Chriso
> Mfahamu Zaidi Enyonyi Abemba Chriso
> Tazama Nyimbo nyingine za Enyonyi Abemba Chriso

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Enyonyi Abemba

Umepakuliwa mara 19 | Umetazamwa mara 42

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 5 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
K) Msifuni Bwana uwaponya waliopondeka moyo, waliopondeka moyo X2 Msifuni msifuni Bwana uwaponya waliopondeka moyo, waliopondeka moyo X2 1) Aleluya! msifuni Bwana ; Maana ni vema kumwimbia Mungu wetu, maana kwapendeza, kusifu ni kuzuri. 2) Bwana ndiye aijengaye Yerusalemu, Huwakusanya waliotawanyika wa Israeli. Huwaponya waliopondeka moyo, Na kuziganga jeraha zao. Huihesabu idadi ya nyota Huzipa zote majina. 3) Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu, Akili zake hazina mpaka. Bwana huwategemeza wenye upole, Bwana huwaangusha chini wenye jeuri.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa