Ingia / Jisajili

Msiwe Na Wasiwasi

Mtunzi: Victor Murishiwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Victor Murishiwa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,976 | Umetazamwa mara 8,516

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Msiwe na wasiwasi eti mtakula nini, msiwe na wasiwasi eti mtakunywa nini
(Baba yenu wa mbinguni anajua Baba huyo, Baba wenu wa mbinguni anajua mnachokihitaji) x 2 

  1. Tumeumbwa kwa jinsi hii ya ajabu, ya kutisha lakini yenye kupendeza.
    Mungu Baba ajua jinsi tuendavyo, nyendo nayo mapito yetu anayajua.
     
  2. Ametupa akili, nguvu na uchaji, tumtumikie mwenyewe peke yake.
    Naye Roho Mtakatifu juu yetu, kwa mapaji tuimarike ndani yetu.
     
  3. Mungu mwana alijitoa msalabani, kwa ajili tukombolewe utumwani.
    Pendo gani tunahitaji wanadamu, hili ndilo pendo la kweli tushukuru. 

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa