Ingia / Jisajili

Mt. Francisco wa Asiz

Mtunzi: Nivard S Mwageni
> Mfahamu Zaidi Nivard S Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Nivard S Mwageni

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Watakatifu

Umepakiwa na: Nivard Silvester

Umepakuliwa mara 261 | Umetazamwa mara 1,031

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee mtakatifu Francisco wa Asiz utuombee x2 Wewe ndiwe msimamizi wa somo wa kwaya yetu (tuombee) tuifate njia yako katika maisha yetu x2 1. Ulimpenda kila mtu bila kubagua, nasi tujalie upendo kati yetu. Ulifundisha kumpenda Mungu na jirani, nasi tujalie upendo kati yetu. 2. Ulitunza nadhiri zako kwa uaminifu, nasi tujalie tutunze imani yetu, ulianzisha jumuiya bora ya kitawa, nasi tujalie tuishi kijumuiya

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa