Mtunzi: Mmole G.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mmole G.
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gereon Mmole
Umepakuliwa mara 499 | Umetazamwa mara 1,743
Download Nota Download MidiKiitikio:
Mimi ndimi chakula cha uzima,x2 Yeye aniaminiye, yuna uzima, Yeye aniaminiye yuna uzima wa milele.
1.Hiki ni chakula, kishukacho kutoka mbinguni, kwamba mtu akila asife, mtu akila asife.
2.Mimi ndimi chakula, chenye uzima kilichoshuka kutoka mbinguni, mtu akila chakula hiki, ataishi milele.
3.Na chakula nitakachotoa mimi ni mwili wangu mwili wangu, Kwa ajili ya uzima uzima wa ulimwengu.