Ingia / Jisajili

Mtakatifu Klara

Mtunzi: Patrick Ingati
> Mfahamu Zaidi Patrick Ingati
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Ingati

Makundi Nyimbo: Watakatifu

Umepakiwa na: patrick ingati

Umepakuliwa mara 242 | Umetazamwa mara 1,114

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MTAKATIFU KLARA. Mtakatifu Klara, somo wa Kwaya yetu na pia msimamizi wa Kwaya yetu utuombee kwa Mungu Baba X2. 1. Utuombee, Mtakatifu Klara, ili tufike juu Mbinguni. 2. Tukihubiri, Duniani hapa, kwa kuimba utuombee. 3. Tunatamani, kushiriki nawe, hayo maisha ya Mbinguni. 4. Ulivyoishi, Duniani hapa, ndivyo twaomba nasi tuishi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa