Ingia / Jisajili

Mtateka Maji

Mtunzi: Gerald R. Mussa
> Mfahamu Zaidi Gerald R. Mussa
> Tazama Nyimbo nyingine za Gerald R. Mussa

Makundi Nyimbo: Pasaka | Zaburi

Umepakiwa na: Gerald Mussa

Umepakuliwa mara 764 | Umetazamwa mara 2,503

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO:

Kwa furaha mtateka,mtateka maji katika visima,visima vya wokovu x2

MAIMBILIZI:

  1. Mshukuruni Bwana Liitieni Jina lake,yatangazeni matendo yake kati ya mataifa,litajeni jina lake kuwa limetukuka.
  2. Mwimbieni Bwana Kwa kuwa ametenda makuu, nayajulikane haya katika dunia yote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa