Mtunzi: Gerald R. Mussa
> Mfahamu Zaidi Gerald R. Mussa
> Tazama Nyimbo nyingine za Gerald R. Mussa
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Gerald Mussa
Umepakuliwa mara 568 | Umetazamwa mara 3,082
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka C
KIITIKIO:
Bwana Bwana asema mimi ni wokovu wa watu,ni wokovu wa watu x2. Wakinililia katika taabu yoyote nitawasikiliza,{nami nitakuwa Bwana wao milele}x2