Mtunzi: Guido B. Matui
> Tazama Nyimbo nyingine za Guido B. Matui
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 3,451 | Umetazamwa mara 7,066
Download Nota Download MidiMtazame Mkombozi msalabani alivyotundikwa pasipo makosa ili sisi sote tukombolewe x2:
Mashairi:
1. Taji la miiba Bwana avishwa wanamdharau nakumpiga.
2. Kwa mijeledi Bwana wampiga na mate wamtemea Bwana.
3. Msalaba mzito Bwana au beba waadhambi wanamtundika juu.
4. Jasho la damu linamtoka mateso yake makali mno.
5. Yametimia Bwana alia kwa mkuki moyo ukachomwa